mhutubu mkuu katika mahubiri hayo alikuw ni mch DANIEL WAMBURA wakishirikiana na wageni wenyeji waliyoshikilia masomo mbalimbali kama vile afya-jaredy othora ujasiriamali mashaka s paulo,martin kiboye na samwel ogalo
tazama picha ya baadhi ya matukio katika mahubiri hayo
ni watu waliyompokea yesu kwa njia ya ubatizo wa maji Mengi
wachungaji na wasaidizi wao
waliyobatizwa wakipokelewa kanisani na kupewa walezi





















































