Jumamosi, 4 Machi 2017

MAAJABU MAKUBWA KATIKA MAHUBIRI

Hatimaye mahubiri yaliyokuwa yanaendeshwa katika viwanja vya obwere yaliyohusisha makanisa matatu yaani SHIRATI CENTRAL, SHIRATI EAST NA OBWERE yanahitimishwa leo na takribani watu 137 wamebatizwa
mhutubu mkuu katika mahubiri hayo alikuw ni mch DANIEL WAMBURA wakishirikiana na wageni wenyeji waliyoshikilia masomo mbalimbali kama vile afya-jaredy othora  ujasiriamali mashaka s paulo,martin kiboye na samwel ogalo
tazama picha ya baadhi ya matukio katika mahubiri hayo

ni watu waliyompokea yesu kwa njia ya ubatizo wa maji Mengi











wachungaji na wasaidizi wao


waliyobatizwa wakipokelewa kanisani na kupewa walezi