Jumamosi, 28 Januari 2017

KWAHERI MCH:SAMWELOIM KARIBU MCH:EZEKIEL OCHUPE

MCH:SAMWEL OIM NA MCH:ISAC GAMA WA VICTORIA


KWA HER MCH:lI SAMWEL   OIM
KARIBU MCH:EZEKIEL OCHUPE


Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya jana tarehe 28/01/2017 kuagwa rasmi kwa aliyekuwa mchungaji wa mtaa wa shirati inayoundwa na makanisa 11 huku akikaribirishwa anayechukua nafasi yake hiyo mch:Ezekiel ochupe aliyetokea mtaa wa kamageta. Mch:samwel oim anayekwenda kutumika tena shambani mwa bwana katika mtaa wa Ikorongo huko Serengeti maeneo ya Rung,abure  aaliagwa kwa pamoja na makanisa yote ya mtaa wa shirati sherehe hizo za kumuaga ziliambatana na ibada ya kawaida ya siku ya sabato katika kanisa la ochuna.


Baadhi ya picha ya zawadi zilizotolewa kwake







MCH:ISACK GAMA AKICHEEKA KWA FURAHA KUKABIDHI ZAWADI KWA NIABA YA MTAA





MCH:OCHUPE AKIPEWA ZAWADI YA KUMKARIBISHA NA NDG:MARTIN KIBOYE




Ijumaa, 20 Januari 2017

hivi ndivyo shule ya sabato ya vijana inavyoendelea kwa sasa
picha zimepangwa kutokea MKUTANO WA WAALIMU
SHULE YA SABATO NDANI YA KANISA
WALIYOHUDUMU
TAARIFA YA KARANI WA SHULE YA SABATO


karani wa shule ya sabato akionyesha lesoni ya robo hii


mkiti wa mkutano wa waalimu leo mwl james john

baadhi ya wanakwaya wa shirati central

taarifa ya shule ya sabato