Ijumaa, 30 Oktoba 2015

WASILIANA NA KANISA

wasiliana na kanisa kwa
E MAIL ADRESS shiraticentralsda@gmail.co
                               BOX 198 SHIRATI RORYA

KANISA YAOMBA AMANI NCHI NZIMA

Kanisa la wasabato la shirati central iliyoko shirati Rorya Mara inapenda kuwapongeza watanzania wote waliyoshiriki uchaguzi wa nchi huku likiomba kwa dhati kabisa Amani kuwepo ndani ya nchi kwani muweza yote ni Mungu ambaye yy ndiye alimuumba kila mwanadamu hata kama aliyeteuliwa kuwa mkuu wa nchi yetu hakuwa chaguo lako lkini tumuombe tu muumbaji wetu Tanzania izidi kuwa na amani na aliyeteuliwa atende kazi huku Mungu akitanguliza fimbo yake mbele yake ili tusiingie ktkt taabu yoyote ktk nchi yetu ndani ya miaka yote mitano ktk uongozi wake wote ndani ya miaka mitano

TUIOMBEE UCHAGUZI WA KANISA

Wapendwa tuendelee kuiombea kanisa kwani tarehe 1/11/2015 siku ya jumapilii  kanisa la shirati central litakuwa na uchaguzi wa watendakazi wa mwaka 2016 Tuzidi kumuomba Mungu achague viongozi wa kanisa wajumbe wa baraza la uchaguzi watumike kama chombo tu. MUngu akubariki saana

Jumapili, 4 Oktoba 2015

TAZAMA UKURASA HUU KUSOMA MUHTASARI MUHIMU WA LESONI KWA AJILI A WIKI HII

SIKU                                                                         SOMO
jumapili                                                                     Historia ya haraka. waamuzi .{2:1-15} ni nni                                                                                              kilichosababisha zahamahii ns ilidhihirishwaje?

Jumatatu------------------------------------------------------Falme mbili:1wafalme12:26-31 je hili linapaswa kutuambia nini namna ambavyo hali ya mambo iliyopo inaweza kupofusha uamuzi wetu kiasi hicho?

Jumanne--------------------------------------------------Maovu mawili:yeremia 2:1-8, soma haya hii yote

Jumatano------------------------------------------------------Tishio la Bbabeli:yere 27:6,yeremia 25:8-12 Ujumbe wa yeremia kwa watu wa yuda ulikuwa upi?

Alhamisi------------------------------------------------Kuapa kwa Uongo;yeremia 5:1,yr 5:2,3 tazama pia law 19:12 Ni mambo gani yanazungumziwa hapa?





ijumaaa JIFUNZE ZAIDI

SOMO LA WIKI HII:ZAHAMA {Ndani na Nje}

soma mafungu haya kwa ajili ya juma hili:Amu 2:1-15,1wafalme 12:26-31 2nyaraka33:9,10:yeremia 2:1-28 5:2,3



FUngu la kukariri Israel walikuwa utakatifu kwa Bwana,malimbuko ya uzao wake:wote watakaomla watakua na Hatia,uovu utawajalia:asema Bwana{Yeremia 2:3

Jumamosi, 3 Oktoba 2015

HIVI NDIVYO SABATO YA KWANZA YA 03\10\2015 ILIVYOANZA

HATIMAYE ROBO YA NNE imeanza rasmi na katika sabato hii ya kwanza iliyoambatana na ibada ya maombi ya kufunga kilianza na mkutano wa waalimu kwa kujifunza mwongozo wa kujifunza biblia(LEASONI> Na baadae muda wa kuimba nyimbo za kikristo ilifuatia kabla ya huduma kuu

Ijumaa, 2 Oktoba 2015

KARIBUNI KATIKA IBADA YA KESHO NDANI YA KANISA LA SHIRATI CENTRAL
IBADA AMABAYO ITAKUWA NI MAALUM KWA AJILI YA KUOMBEA MAMBO MBALIMBALI KWANI KAMA KAWAIDA YA MWANZO AU MWISHO WA ROBO KANISA LETU LINA UTARATIBU WA MAOMBI YA MFUNGO

SOMA MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA KILA SIKU

Bofya hapa ujisomee lesoni yako kila siku katika page yetu hii.
 Ndugu msomaji wa mwongozo wa kujifunza biblia usije ukakosa kusoma lesoni ya robo hii ambayo masomo yote tutakuandalia na kusoma online kupitia website yetu hii
.JIFUNZE ZAIDI UJUE MAANDIKO UBARIKIWE ZAIDI
Ongeza kichwa