Ijumaa, 28 Agosti 2015

JINA LINALOOGOPWA NA WENGI.bofya hapa ujue

Katika maisha yako yote jina gani unaliogopa zaidi?
hilo lilikuwa ni swali ngumu katika ibada hii ya leo ndani ya kanisa la shirati central 
soma MATENDO YA MITUME 4:12 uangalie jina lenye faida zaidi kwa watu na linaloogopwa
soma KUTOKA 15:......utazame namna ambavyo Mungu alimshughulikia Farao
mpendwa msomaji tafadhali fatilia mafungu hayo utagundua jina linalohitajika kuogopwa na kuinuliwa watu wote ktk ulimwengu huu

Ijumaa, 14 Agosti 2015

karibuni katika ibada ya sabato ya siku ya leo
    kesho kutakuwa na ibada ya kipekee ya kufunga makambi kinyenche katika mtaa wa shirati.
 kutakuwepo na kwaya mbali mbali ikiwemo kwaya alikwa kutoka obwere katika makambi hayo

Alhamisi, 13 Agosti 2015

HEBU ZITAMBUE SIRI ZILIZOPO KWENYE NAMBA MBALIMBALI KUHUSU MAMBO YA KIROHO

/ZIJUE NAMBA\
Mwanzo 6;14 1korintho2;10 ufunuo 19;10
No 1,maana yake @Mungu ni mmoja, kumbukumbu la torati 6;4
B,kanisa ni moja}efeso 4;4
C,iman ni moja}efeso 4;4
D,ubatizo ni moja efeso 4;4-6,1 korintho 12;13
NO 2,Maana yake kiunabii ktk biblia
@Agano la kale na agano jipya{mathayo 13;31-52
B,watu wawili{mwanamke na mwanaume}kuunganshwa na kuwa mwili mmoja;Mathayo 19;3-6
NO 3 Maana yake:Ushirika wa utatu mtakatfu yaani Mungu baba,mwana na Roho mtakatifu
1 Yohana 5:8
Mwanzo 1:26
2 Korintho 13:14
No4: Maana yake katika biblia
A: Pande nne za dunia
B: Malaika walioshika pande kuu za dunia ili shetani asidhuru dunia mpaka mungu amalze kupiga muhuri wa watu wake Daniel 7:1-2, Ufunuo7:1-3
No7: Ukamilifu wa mungu(siku sita fanya kazi yake)
Ufunuo 6:1,ufunuo 8:1,8:6,ufunuo 1:20,ufunuo10:3
No 12:Ufunuo21:9-24,ufunuo 21:21
No 24:A:Viti vya ukuhani
            B:Viti 24 vinakaliwa na watu 24 ufunuo 4:1-10,Mathayo 27:51
No 30:Ukomavu wa kikohani luka 3:23
No40:Uzoefu wa mambo ya kiroho luka 4:1
Mwanzo 7:17,Mathayo3:1,Yohana 3:1
No 50:Jubeled(mambo ya walawi 25:10
No300:Ushuhuda wa Gidioni Waamuzi 7:19,Ufunuo 17:13

           



                                   KUNENA KWA LUGHA:
TUNAWEZA KUMTAMBUA  MTU AMBAYE ANANENA KWA ROHO?
1:Lazima aweze kufasiri baada ya kunena
2:Lazima mtu asiye wa kabila lake amuelewe
3:Lazima awe amebatizwa kwa roho kama kristo alivyosema.
1Wakorintho  14:6-9 maana kuna lugha nyingi duniani  lakini je kama hakuna roho mtakatifu je twayaweza kuyasikia?
SWALI:Je mtu asiyeweza kufasiri alichokinena anaongozwa na roho?
1Wakorintho  14:10-15 Basi ikiwa tunanena kwa roho tuombe tupewe kufasiri lakini kama huwezi kufasiri basi hujui ulinenalo.
Matendo ya mitume 2:1-12 Siku ya pentekosti wanafunzi walinena kwa roho na hata watu wote wakaelewana.
Mathayo 3:11-12 yeye awabatizaye kwa roho na moto ndiye muweza yote yesu kristo
Je lugha unayoisikia ikinenwa na waganga wachawi na wengine unaisikia?.
Kubali kumpokea kristo ili upate kufunuliwa habari hizi  ZABURI 25:14 Siri yake ameificha kwa wale wamchao tu.